Kwa kutazama picha hz kuna kitu kikubwa sana unaweza kukigundua.Ungeanza kukopa kwanza energy drink kabla ya pikipiki [emoji23][emoji23]View attachment 1560296View attachment 1560298
Hivi ni kwanini mtoto anazaliwa na kichwa kikubwa mkuu.Hydrocephalus. Hakuna upendo kama wa mama hapa duniani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1552574
Mtoto yupi? Huyo kwenye picha au generally? Kama ni huyo kwenye picha jibu la ugonjwa unaomsumbua liko hapo: hydrocephalus (Google).Hivi ni kwanini mtoto anazaliwa na kichwa kikubwa mkuu.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hili darasa linapatikana wapi?
Wananzega piga chini huyu bado hajakua [emoji16]
Noma sana, nimepiga picha ndio initokee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee unatembea barabarani watu wanakunyooshea vudole[emoji23][emoji23][emoji23]hapo unaomba Mungu wote “Waliokuchungulia” wasiwe ni watu wanakufahamu lakini hata kama wanakufahamu kwani wameichukua? [emoji12][emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee unatembea barabarani watu wanakunyooshea vudole