Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1780424043515.jpg
 
View attachment 3600137
cocastic hii meme maneno yako😁😁,kama umesema weye vile😁😁😁
Nimechekaaa mlongoo, juzi kuna sehemu tumekaa sasa nikawa naongea na cm, si yakaanza kunitokaaa mineno.
Waja waliokaa hapo hoi, wanauliza hayo maneno unayatoa wapii? 😂😂😂
M1 kadakiaa, yaan huyu akiwa anakusema inabidi utulie ushike maneno anayokupa, nawee ukampe mwingine atakae kuchokoza.
Nilichekaa, 😂😂😂
 
😁😁😁😁,nacheka,,,nakusemea mineno ya coca hii🤣
 
Back
Top Bottom