Duh 🥱Adidas wanauza yebo kwa laki2 na nusu ya BongoView attachment 3439008
Yaani jana nimeiona nikasema kweli wanauza jinaDuh 🥱
Mda wa kuomba kura huu, wanasiasa wako radhi kujipaka hata matope kichwani[emoji16]Mjukuu nipo. Ni hekaheka tu za uchaguzi tu mjukuu huku Misungwi. Uko poa lakini?
View attachment 3429958
Mrembo za kupoteaYaani wewe[emoji16],haya umekuja Sasa au Leo tu[emoji41]
Nimekumiss pia,