King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,338
- 88,510
Hahahaa huyo Dogo huwa simuelewi kabisa ,naona kama comedian flani hivi.King Kong III jamaa Yako kafika hatua hii
Hahahaa huyo Dogo huwa simuelewi kabisa ,naona kama comedian flani hivi.King Kong III jamaa Yako kafika hatua hii
Mbona kama unajistukia?😂😂😂😂 anapata nafuu ya maumivu mengi aliyonayo rohoni mwake.. Ni kijana aliyepigika kimaisha na kifikra na anadhani madhila yake yamesababishwa na Mimi😂