Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20250625-WA0042.jpg
 
Kumbe magari ndo yalianza series ya number F mapema kabla ya Pikipiki na Bajaj yaani angalia leo pikipiki ndo wameanza series ya number F yaani ndo wamezindua number yaani ni FAA lakini kwenye magari sasa hivi tupo FEK

Kumbe sisi wa magari tulianzaga kitambo na hizi number F
1750922625164.jpg
 
Back
Top Bottom