King Kong III jamaa Yako kafika hatua hii
Wewe ungekua vizuri kimaisha ungekuwa unatukana tukana watu ovyo kwenye simu zao. Mzee wa ovyo kabisa huna lolote wewe unafikiri kuwa maarufu hapa mtandaoni kila unachoshauri na kuongea ni lazima watu wakifuate umekuwa nani wewe? Kafie mbele huko.😂😂😂😂 anapata nafuu ya maumivu mengi aliyonayo rohoni mwake.. Ni kijana aliyepigika kimaisha na kifikra na anadhani madhila yake yamesababishwa na Mimi😂
Hili lijamaa bado lipogo😂😂😂😂😂😂 anapata nafuu ya maumivu mengi aliyonayo rohoni mwake.. Ni kijana aliyepigika kimaisha na kifikra na anadhani madhila yake yamesababishwa na Mimi😂