Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hatudanganyiki.... Hawa kengez ni kupiga mimba na kuwaacha tuu. Kuweka ndani kengez ni kutojiheshimu kabisa
Unaweza ukazunguuka kutwa nzima unatafuta njia ya kutokea huioni hatimae unaweza kujikuta umerejea kwenye njia uliyoingilia.Kwa sie maback bencher hapo huwezi drive
Hii imenikumbusha siku nachapiwa nikiwa chuo.