That is life in a nutshell
Kwani baba hakuwapa hilo somo kabla hajasepa?
Na kenge hizi jinga kweli kweli. Wee unataka burudani eti kenge linadaka mimba. Hovyo kabisa. Wakitelekezwa wanaa za sema wanaume wote mbwa.
Sass una mil 12 unashindwaje pata million 100 ndani ya mwaka?
Walah sii uongo maana zinavyopotea sii kitoto
Kwa sie maback bencher hapo huwezi drive