Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

3
IMG-20250430-WA0000.jpg
 
#TAARIFA_KWA_MASHABIKI_WA_TIMU_YA_TAIFA_YA_MUUNGANO yaani _Yanga_fc
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema kuwa endapo Yanga watatoboa kule Pemba – ndio, mechi ya kufuzu fainali ya #Kombe_la_Muungano – basi mashabiki wamepanga kuandaa mapokezi makubwa

Kuanzia Bandarini hadi Jangwani kwa baiskeli, punda na hata mikokoteni
Wamesema: “Simba walipokea mashujaa wa CAF, na sisi tutapokea mashujaa wa Pemba

Kutakuwa na mabango yameandikwa:
"Tumefuzu Hatimaye tupo fainali ya Kombe ambalo lina thamani ya laki 5

Kwa sisi mashabiki wa Simba, tumeshaweka kiti na soda kusubiri kuona msafara wa “Confederation ya Muungano”.
Karibu kwenye hatua ya kutamani mafanikio ya wengine ni hatua ya kwanza kuelekea kujijua
#simbanguvumoja
#yangawamchangani
#simbasctanzania
 

Attachments

  • 1746082794288.jpg
    1746082794288.jpg
    923.5 KB · Views: 10
Back
Top Bottom