Namtafuta sana huyu baba anaetengeneza hivo vitu vya asili, sijui nampataje?Kwa mzungu unakula dola nyingi sana hapo
Mbona wapo wengi sana. Tembelea masokoni sehemu wanapouza vinyago watakuelekeza kwa mafundi wanapovipataNamtafuta sana huyu baba anaetengeneza hivo vitu vya asili, sijui nampataje?
Kuna aina tofauti ya ubunifu ila ubunifu huo nimeupenda atakuwa na vingi nnavohitajiMbona wapo wengi sana. Tembelea masokoni sehemu wanapouza vinyago watakuelekeza kwa mafundi wanapovipata