😀😀😀😀😀😀😀 mimi nilijikojoleaDondola sijui kama sikuhizi hawa wadudu wapo....
Waliwahi kuinitoa kamasi..... sina hamu.
Yaani machozi na kamasi vyote vinatoka wakati mmoja eheeee.... sitaki hata kumbuka.
Wahenga walisema, mipango si matumizi
Akichomoka mmoja au wawili kukufuata, drone ya Israel ikasome. Yaani wana Kasi ya ajabu na hawapotezi shabaha na mara nyingi target yao ni jicho lako.
Kwa mzungu unakula dola nyingi sana hapo