😆😂😂🤣 kwamba ni muheshimiwa mbunge!F.A njoo huku tafadhali eti sio wewe kweli huyu?
Kwa kweliHuyo hajaelewa.... anaombwa aende uvinza...🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Marahaba dogo.Babu shikamoo.🙏🏾
Hapana!
Za kujifukiza pia hazipo? Je za miujiza kutoka kwa manabii na mitume wa kisasa?