Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
📌📌📌
Mbona sisiem hawajashughulikiwa?God will deal with the person who has been evil to you.
Amen
Mwambie akupatie nauli ya bodaboda ukamtafute(ukajitafute). Ondoka nenda kapige tungi mpaka saa 6 usiku. Kesho ukikutana nae mwambie jamaa amesafiri kwenda mkoani na amekuachia wewe chumba chake na amesema atakuja kulipa Kodi yake atakaporudi.
Babu shikamoo.🙏🏾Mi nshajizeekea mjukuu. Hizi mambo kwa sasa anapenda mtaalamu mmoja kijana hivi atheist very smart 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Huyo kijana ni mjinga sana basi tu hana akili kabisaMi nshajizeekea mjukuu. Hizi mambo kwa sasa anapenda mtaalamu mmoja kijana hivi atheist very smart 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️