Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Hapana!
He is one of the smartest young man I know here. Given his tender age, ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja na kuitetea. Na sijawahi kumuona akitukana mtu hapa. Ni kijana wa kuigwa!
Najua unatania maana ni mtani wako!