Mke anapakua chakula na mume anapakua chakula
Mjinga sana huyo! Amesoma lakini hajaelimika. Hata Yesu na ukuu wake wote aliokuwa nao hakujikweza. Aliwanyenyekea madogo hadi kuwanawisha miguuMsomi wa Tanzania...🚮
Halafu wajumbe hao hao wa darasa la 7 wakampiga chini 😂
View attachment 3183886