Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,403
Mwamba tuvushe.....
Pipoziiii !!! 📣📣📣📣
Pipoziiii !!! 📣📣📣📣
huu utani si mzuri ndugu yangu, si ulisema utaacha?View attachment 3182882
Picga za Christmas zimeshaanza kuvuja. Hapa ni mshamba_mwingine na min -me baada ya kuzidiwa na pilau ya Christmas
Kanuni za Fizikia hapa huwa zinakwama maana huyu mwamba ana uwezo wa kusukuma mzigo wenye uzito unaomzidi tena hata kilimani ikibidi!
Lugha ya kwetu kanda ya Pwani anaitwa BimbilisamaviKatika Kisukuma huwa tunamuita Gīpilingityamashi
Msala huo.🙄🙄
Hakuna dini hapo.
Watakaofuata watafanya zaidi.
Wanaolalamika ni mashabiki wa Yanga.
Oooh kazi nzuri ingawa ni rushwa
Vita haichagui silaha.