Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
View: https://youtube.com/shorts/Gmll8VQ8XfQ?si=4mES4aAi6DuBO9dr
Kama ndoa ingekuwa tamu kama harusi, Kataa Ndoa wasingekuwepo...🤔🤔🤔.
Ghafla nimehisi vibaya ulivyo sema, umenifanya nifikirie kuhusu maisha nayoishi hapa duniani. Kuna muda huwa nafikiria, hivi nikifa sijui nitasema nini uko nikienda, namuomba Mungu niweze kuishi kama kusudio lake.Sio miguuni??
Maana bro angu wakati anaelekea kufariki alimwambia mshua anasikia baridi kali sana linapanda kuanzia miguuni😋😋😣
Ukishikwa shikamana! 😄🏃🏿♂
Vimbaumbau kwa roho mbaya dah!
Kama siyo Msukuma basi hakuna kesi hapo! 😬