Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Jamani! Ni mtu amedukua akaunti yako au ni wewe kabisa Ma Mchungaji ndo unaandika haya? Tangu lini umeacha kuwa kimbilio la watafutao faraja katika Bwana; na kugeuka kuwa mtibua upupu na mtonesha vidonda vya waliobananishwa huko huku ukiwaombea wazidi kubananishwa mpaka wauwawe? Kha!Pole sana Mtumishi. Kwa maelezo haya; si bure umebananishwa mahali. Banana tu ndugu yangu; tupo nawe hadi uuawe