Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Ukitaka kumjua zaidi pengine anzia kwa mdogo wake komandoo Yoni Natanyahu aliyeuawa Entebbe Uganda kwa kupigwa risasi ya mgongoni wakati akiongoza harakati za makondoo wa Israeli walipokuja kuwaokoa watu wao waliokuwa wametekwa katika ndege iliyolazimishwa kutua Uganda...Netanyahu mtu mbaya sana inabidi nimsome jamaa ili nimjue zaidi akili zake zikoje
Asee sio poa kabisa
Anaipenda Israel na ana msimamo usiotetereka. Ni kupeleka moto tu non stop yaani!