[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wahuni bwanaView attachment 1500679
Baada ya kuvuta bangi mwenzetu mmoja akaamua kujisomea gazeti lkn mara ghafla akainuka na kutoka nduki, nasi tukaona isiwe tabu tukaunga na mia, jamaa akakimbia sana mpk akaishiwa pumzi akatafuta kichaka akajificha nasi tukaja mbio mpk humo alimo tukajificha wote, then tukamuuliza kwan vp jombaa, akatujibu alipokua anasoma gazeti aliona picha ya police [emoji28][emoji23]
Lugha ya malikia imeendelea kutufanya kinyume na maumbile.Kweli kizungu kilikuja na meli[emoji1787][emoji1787]View attachment 1528714
Tutaelewana tu hivo hivo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lugha ya malikia imeendelea kutufanya kinyume na maumbile.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] khaaaaaahKweli kizungu kilikuja na meli[emoji1787][emoji1787]View attachment 1528714
umepoteaTutaelewana tu hivo hivo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]