moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,234
- 775,715
Jamaa ana damu ya kunguni. Sijaona mtu anayechukiwa na watu hivi. Yaani hakuna anayemsema vizuri hata mmoja.Usikubali kubezwa kiboya.
Na usikubali chama chako kuwaachia panya wakichezee, pambana mkuu
View attachment 3051970