Kuna mmoja hapa ananiomba buku 30 lakini siku nilimuomba linda akaniambia oh mzabzab una sura mbaya siwezi kukupa linda langu 🤣🤣🤣
Leo anniita handsome
Kuna mmoja hapa ananiomba buku 30 lakini siku nilimuomba linda akaniambia oh mzabzab una sura mbaya siwezi kukupa linda langu 🤣🤣🤣
Mm najua tayari una wajukuu 😉😉Life not fair...yaani ata huyu njemba ana mtoto mie sina
hii ni kweli kabisa wala sii uwongo