Me against the world.
Sahih, ila nina swali Mzee wa upaka alio bikra?Wanawake tunaomba msimamo wenu kwenye hiliView attachment 3044285
Hawa ndo wachawi.
[emoji16][emoji16][emoji16]inategemea na mshangazi
Kuchapiwa kunauma sana lakini sidhan kama kulikuwa kuna haja ya kuandika BBC guy, that's racism [emoji38][emoji38]
Kenya bado hawajapata wanachotaka.
Tulia mudiKenya bado hawajapata wanachotaka.
Wapambane mpaka wakipate
Bangeπ
Mkuu Upo Kasarani unawasaidia ?Tulia mudi
Kasarani?Mkuu Upo Kasarani unawasaidia ?
KenyaKasarani?
Nipo kitandani nimelala tumbo juuKenya
Mateso hayaepukiki
Hatualikani mkuuπ€πΆββοΈπΆββοΈNipo kitandani nimelala tumbo juu
Hapo natoaje mwaliko?Hatualikani mkuuπ€πΆββοΈπΆββοΈ
Kisichana kidogo kimepatwa na nini kikafanya unyama kama huo?π³π³
Unanialika nije nikutoe upweke hapo kwa bedHapo natoaje mwaliko?
Changamoto za afya ya akili...Kisichana kidogo kimepatwa na nini kikafanya unyama kama huo?π³π³
Sina upweke.Unanialika nije nikutoe upweke hapo kwa bed