Kwa wapenzi wa ndondi. Huyu kifutu cheupe unamtambua? Alikuwa bondia mmoja machachari sana enzi zake mpaka alipokutana na Mexican worrior mmoja wa kuitwa Marco Antonio Barrera akapigwa kweli kweli mpaka akaamua kuachana na Boxing. Yuko kwenye Boxing Hall of Fame!
View attachment 3039569