Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

View attachment 3039674
Kwani kaondoka mama E ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ
Nshapigwa chini muda mrefu. Sema kumsahau sasa ndo shughuli ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Jimbo liko wazi aisee. Nigeie lirafiki lako limoja lizuri kama wewe. Zawadi NONO itatolewa!

22838422.png
 
Kwa wapenzi wa ndondi. Huyu kifutu cheupe unamtambua? Alikuwa bondia mmoja machachari sana enzi zake mpaka alipokutana na Mexican worrior mmoja wa kuitwa Marco Antonio Barrera akapigwa kweli kweli mpaka akaamua kuachana na Boxing. Yuko kwenye Boxing Hall of Fame!

View attachment 3039569
Naseem Hamed, amebadilika sana..
b25lY21zOjg3YWQxNjgzLTU5NTEtNDQxMi1iMjRiLWE2MjM1NjllZDVlNDpkMzA4NjdkYy01ZTZjLTQwZTAtYWM4Yy0wYmEzNmZlYWRlYzc=.jpg
 
View attachment 3039930

Role model wa mzabzab akitaka apewe 10M huyo akionesha range yake baada ya kupambana kuipata.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜
Aisee kumbe kweli bwana vijana wanaendesha range huku wamevaa pampers....mie nijua jokes ...kuna sehwmu nafeli itabidi niongeze bidi au kwa kuwa mie sio handasome๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom