Thubutuuu, Kwanza waondoe marefa wa ujanja ujanja akina Arajiga.
Huyo traffic atakutafuta sana, labda ubadili njia[emoji16]
Watu washajichokea wanavutia kitu cheti[emoji38][emoji38]View attachment 3014835
Akinitafuta na kuniandikia faini, nitaifanyia hivi.
Jamaaa katotoa daughter mzuri kaona hapana bora ale mwenyewe kuku na kifaranga