Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1717932183952.jpg
 
Oyaaa kumbe mm sina dhambi nilitembea na mama mkwe
Hiyo kawaida sana mbona!

Ninapoishi kuna mshkaji wangu anasoma muhimbili katembea na binti na mamaake na picha zipo mmewe ni mtu wa safari sana hivyo mda mwingi hayupo home. 😀

N.b ni uswahilini huku tulikopanga 😃😜 si unajua tena chovya chovya nyingi
 
Back
Top Bottom