Kwenye mambo ya kipuuzi tuko vizuri🙄🙄🙄
Aisee kumbe jamaa wa bariadi wana mag-..-ovi..😂🙄🙄
Mmiliki Sky News na msululu wa vyombo vya habari.Ametoka kuachika hivi karibuni lakini naona kavuta chuma kikali na kidogo zaidi!
View attachment 3010050
Maombi yao yatafanyiwa kazi.
Wachimba madini wa Geita ukiishi nao japo siku moja tu....Jamaa hawaa, DaaaahSiyo nyinyi wauzaji eeh! Nyinyi si mnaletewa tu yameshachimbwa? 😁
Vincent Kompany