Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Afya ya meno na kinywa inachukuliwa kwa uzito mkubwa sana hukoo ulinwenguni. Wanasema mdomoni kuna bakteria hatari sana na kulingana na mazingira ya mdomoni ni rahisi sana kwao kuingia kwenye damu. Tafiti mbalimbali zimeonyesha uhusiano wa kisababishi (causal relationship) kati ya afya mbovu ya meno na kinywa; na magonjwa ya moyo.