Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,798
- 57,313
Hongera sana, umekuwa kama Mimi Babu yako.Kweli babu.
Nimekuja kufanya baada ya kuhitimu Degree yangu na kumuoa Bibi yenu 🤗
Hongera sana, umekuwa kama Mimi Babu yako.Kweli babu.
Nakumbuka tulivyokua olevel kuna siku mwalimu wa sayansi akauliza "manii ya mwanaume yana rangi gani" nikachaguliwa kujibu nikasema ina rangi nyeusi😂Hongera sana, umekuwa kama Mimi Babu yako.
Nimekuja kufanya baada ya kuhitimu Degree yangu na kumuoa Bibi yenu 🤗
Nakumbuka tulivyokua olevel kuna siku mwalimu wa sayansi akauliza "manii ya mwanaume yana rangi gani" nikachaguliwa kujibu nikasema ina rangi nyeusi😂
Wenzangu walinicheka sanaa
Hahaha..........pole sanaNakumbuka tulivyokua olevel kuna siku mwalimu wa sayansi akauliza "manii ya mwanaume yana rangi gani" nikachaguliwa kujibu nikasema ina rangi nyeusi😂
Wenzangu walinicheka sanaa
Hahaha..........pole sana
Kwahiyo saivi ukiulizwa hivyo unaweza kuwa na majibu Kwamba yana rangi gani?
Kweli Babu nimekuza Mjukuu 🤗
Njoo na hiyo Kiko yangu hapo nje, uje uninong'oneze 🤗Sasa hivi jibu ninalo
Nakuja babu😂Njoo na hiyo Kiko yangu hapo nje, uje uninong'oneze 🤗
Bibi yako nimemtuma akachume mnamvu huko shambani kwahiyo hakuna atakayesikia ukiniambia 😜
Kuna mwenzio darasani fomu thrii mwalimu alisema eti manii kimsingi ni maji na sukari binti mmoja akaropoka eti "Mwalimu siyo kweli. Mbona sasa zina chumvi chumvi na siyo tamu kama zina sukari?"Sasa hivi jibu ninalo
Hatari 😅Kuna mwenzio darasani fomu thrii mwalimu alisema eti manii kimsingi ni maji na sukari binti mmoja akaropoka eti "Mwalimu siyo kweli. Mbona sasa zina chumvi chumvi na siyo tamu kama zina sukari?"
Darasa zima pamoja na mwalimu wakabaki midomo wazi 😁😁😁