Wee naona sasa umeniona zoazoa 🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅 😅😅Wee naona sasa umeniona zoazoa 🤣🤣🤣🤣🤣
Ungeona pisi nazotomber aisee wee mwenyewe ungesema natamani niwe kidume kama mzabzab
Pambana na hali yako!
Si lilii dyudyu 😅😅😅😅Pambana na hali yako!
Na uachane na mapenzi!
Afadhali umerudisha jina lililozoeleka. Ile leratoo ulijichanganya tu japo nadhani litakuwa na maana kubwa kwako.Si lilii dyudyu 😅😅😅😅
Unalilia nini sasa? 😳Si lilii dyudyu 😅😅😅😅
Hizi taarifa zinaniumizaga Sana Moyo wangu😔😔😔.Hela za kwenye madini ni ngumu but this is just too much. Nyonga mpaka kufa hawa watu!
View attachment 3009899
Watu wanatafuta utajiri kwa gharama yo yote ile. Na hawa waganga wa kienyeji wanaoagiza haya makafara nao ni tatizo pia. Inasikitisha sana!Hizi taarifa zinaniumizaga Sana Moyo wangu😔😔😔.