Yes maam[emoji16]
Hapo namba moja nahisi nipo sawa... Jina lilitaka kufanania na mama yangu mmoja namkubali sana.Aahahahhaaa Taavid umenifanya nicheke kizembe....
Akili yangu imewaza vitu viwili kutoka quote yako....
1. Yees Sir... [emoji3][emoji3][emoji3] if you are where they say that....
Hapo juu ulivyoitamka, mulemule...
2. Wahaya Ta ni baba, mfano mtu anaitwa Angelo so kihaya watamuita TaAngelo kama anaitwa Rwiza basi ataitwa TaRwiza...
Taavid.....[emoji12][emoji12][emoji12]
Akili za Kasinde, zipotezee tuu.
Dunia Haina usawa 😅😅
Dah bora waluguru hatujaguswa