SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,935
Yaani hii picha kila nikiiona nacheka saaaaana aisee
Kumpata ni bahati ila uwe mvumilivu saaaaana!Nahitaji kujua mieehView attachment 1514870
Jamaa huwa ni bonge la Genius hapa duniani
Huyu dogo kapotea
Kweli kabisa aisee!Huyu dogo kapotea
Picha la kibabe linaanza

Daaah kazi wanayo.
Aisee nimecheka sana...
Hahahaa! Wajuba wanajiandaa kuangalia mambo na kujidindishia

mtu kapost kwenye stories hiyo pic yake