Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,135
Haisaidii ila ukiwa empty una kosa ujasiri wa kila kituSina!
Hata nikinuna itasaidia nini
Haisaidii ila ukiwa empty una kosa ujasiri wa kila kituSina!
Hata nikinuna itasaidia nini
Aibu kwa mwanamke inamsitiri vingi, usaliti mimi huwa siuamini ni dhana iliyojengwa juu ya msingi wa ubifsi.Kuna wanawake wawili
1. Ana mshipa wa aibu ila ni msaliti
2. Hana mshipa wa aibu ila sio msaliti
Utamchukua yupi?
Basi tutafute helaHaisaidii ila ukiwa empty una kosa ujasiri wa kila kitu
👍Basi tutafute hela
unafikiri bila ulozi kuna mtu ataoaUchawi upo😤😤🏃♂️🏃♂️🏃♂️
View attachment 3002894
Nipe kwanza hiyo kumi ili nifanye hesabu ya pamoja🤣🤣Itabaki 990,000😂
View attachment 3003516
Hahaha🤣🤣
Njombe oyee🤣🤣