Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
ungejaliwa kupanda milima ya kwetu ungesimulia daima., hata hivyo lushoto inasifika sana kwa mandhari nzuri na za kuvutia.
Ukiondoa Mlima Kilimanjaro ambao bado sijafanya maamuzi, niambia nianze na mlima upi Tanzania nifurahie mandhari kabla sijarudisha namba....
Ukiweza naomba listi kama milima 4 hivi ila isiwe migumu ndo maana Kili nimeuweka kiporo kwanza 😜😅😅.