Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,257
I thought umeolewa! 😳
Or it's just a meme sio?
I thought umeolewa! 😳
Huyu dem sura yake haina nuru kabisa.
Past ya mwanamke matters alot. Alot alot alot.
Sema hii picha jau sana inakupa ukweli mchungu kuhusu mahusiano na wanawake in general.
Huu ni uchafu asee 🤢🤮.
hiyo ndio naambiwa choose ur poison
Yani ni kweli kabisa...wanawake na hela ni kama mlenda na bamia...na sijui hata tunafanyiaga nini maana matumizi hayaeleweki...
Weaving 500kYani ni kweli kabisa...wanawake na hela ni kama mlenda na bamia...na sijui hata tunafanyiaga nini maana matumizi hayaeleweki...