Labda sio dar es salaam ya tanzania, wengine hata mmoja hatuna!
Siku 'fulani' aniambie nakupenda!
Kwa hio mimi tayari nimesha zini na fulani na fulani na fulani! Si bora wanipe tu ili hio dhambi iwe kamilifu.
🙄🙄😎😎🚶♂️🚶♂️
Hahahaha.
Mmmh, haki zake za kuishi ziko hatarini
Huyo mpalange anaishi wapi?
Na Msiikalibie zinaa