Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Ile meat yenyewe au mi ndo sijaelewa!!
✔️✔️Harakati za mwanadamu katika kutafuta riziki hazina utulivu wala urahisi, zimejaa misongamano na mibanano kwa vile kila mmoja ifikapo asubuhi huamka nakulekea kwenye harakati hizo.
Asubuhi asubuhi yetu ikawe njema hatakama itaambana na usumbufu wa namna moja ama nyingine View attachment 2953404