Huyu mwanamke nae,alikuwa anataka nini hasa?
Hapo kutoa meno na kukata kandambili ilikuwa ni kugusa tu
Hakuna mwenye jibu la swali lako kwasababu hata wenyewe wanawake hawajawahi kujua wanachokitaka tangu dunia iumbweHuyu mwanamke nae,alikuwa anataka nini hasa?
Simba vs YangaHii mechi nani atashinda? View attachment 1511497
Ndio maana watu wanachafukwa hadi kuchoma mke na magunia ya mkaaHakuna mwenye jibu la swali lako kwasababu hata wenyewe wanawake hawajawahi kujua wanachokitaka tangu dunia iumbwe
Sema Adamu alitusaliti yaana alimuacha Eva aishi wakati alikula tundi na snake. Tatizo labda kwakuwa alikuwa peke yakeNdio maana watu wanachafukwa hadi kuchoma mke na magunia ya mkaa
Hii vitani ile una tega mitego ili kumnasa adui daaah! Utoto raha sana, mitego ya now days tofauti na hii