Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mweeh
 

Attachments

  • FB_IMG_1705518043450.jpg
    FB_IMG_1705518043450.jpg
    23.9 KB · Views: 15
Kula mbakishie baba
Hii app ya browser-based ni mtihani. Labda ni kwangu tu lakini picha zikiwekwa moja kwa moja zinakuwa hazionekani vizuri mpaka mtu abonyeze kama anataka ku-download...👇

Screenshot_20240308_011924_Chrome.jpg


Ukitaka zionekane vizuri wakati wa kuposti ni lazima u-click Insert 👇

Screenshot_20240308_011820_Chrome.jpg


Halafu uchague full image ndiyo upost....

Screenshot_20240308_011829_Chrome.jpg


Sijui kama na wengine mna tatizo hili au ni mimi peke yangu...

App ya zamani ilikuwa nzuri mtu unaweka tu picha mara moja badala ya hizi steps zote. Hovyo tu yaani!
 
Hii app ya browser-based ni mtihani. Labda ni kwangu tu lakini picha zikiwekwa moja kwa moja zinakuwa hazionekani vizuri mpaka mtu abonyeze kama anataka ku-download...[emoji116]

View attachment 2927650

Ukitaka zionekane vizuri wakati wa kuposti ni lazima u-click Insert [emoji116]

View attachment 2927651

Halafu uchague full image ndiyo upost....

View attachment 2927652

Sijui kama na wengine mna tatizo hili au ni mimi peke yangu...

App ya zamani ilikuwa nzuri mtu unaweka tu picha mara moja badala ya hizi steps zote. Hovyo tu yaani!
App ya zamani ilikuwa nzuri mtu unaweka tu picha mara moja badala ya hizi steps zote.[emoji419][emoji375]
 
Back
Top Bottom