Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

.
 

Attachments

  • 20240228_203413.png
    20240228_203413.png
    5.6 KB · Views: 14
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Sumve, Marehemu Richard Mganga Ndassa wa kwanza kulia, akiwa na rafiki yake ......furani.......wakati huo akiwa bado na ushamba wake wa kisukuma.

Watu tunatoka mbali sanaView attachment 2918995
Huyo wa kati aliendeleza mpaka jumba jeupe 😂😂😂😂mtu anatembea kama kanawa mikono kwa ajili ya kula😂😂😂cc@shimba ya buyenze
 
Tengua hiyo kauli haraka sana. Hapo hakuna ushamba. Zilikuwa ndo pigo zetu wakati ule!
Natengua kauli.
Mh Richard Mganga Ndassa akiwa na rafiki yake kipenzi ........chaujanja........
mtoto wa mjini saaaaana akiwa amegonga suti kali kutoka kwenye duka moja maarufu sana jijini Dsm "Ak's Shop"
1709108486140.jpg
 
Back
Top Bottom