Hakuna ambaye hajavunjwa moyo na mapenzi. Acha mbwembwe!
Tengua hiyo kauli haraka sana. Hapo hakuna ushamba. Zilikuwa ndo pigo zetu wakati ule!
Tengua hiyo kauli haraka sana. Hapo hakuna ushamba. Zilikuwa ndo pigo zetu wakati ule!
Mimi ni mmoja wao. Nitabarikiwa sana kiuchumi 💪🙏🏿
Mama E ananitesa sana jamani. Nimeshindwa kabisa kujinasua japo napambana sana. Nifanyeje jamani?
Inapendeza Sana.