Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sikia hii
emoji848.png
emoji24.png
View attachment 2905569

Sent using Jamii Forums mobile app

Mola na Akutie nguvu maana kuchapiwa utachapiwa tu πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

View attachment 2905601
Nilishachapiwa kaka nikaumia nilivyopona saivi hata wapige mbele yangu sidhani kama itanisumbua sana .
 
Haya majina unaweza kuyajua maeneo ya kuogelea mtoni. Kimangare, kwa wasichana, kwa shetani, kitoshoni,kwa alani karibu na chuo cha ttc... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚umenikumbusha mbali sana. Tulikua tunabembea maeneo hatari sana. Kwenye kamba za miti unatoka ng, ambo hadi ng'ambo..... Hadi naikumbuka analogy. Ila Muumba wetu katutoa mbali sanaβ™₯
Mbali sana bro tumetoka, bahati mbaya jana haiwi leo tena, halafu sijui kwa nini jana na matukio yake yanakuwa mazuri na ya kuvutia kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom