Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

.
 

Attachments

  • 20240215_111420.jpg
    20240215_111420.jpg
    42.1 KB · Views: 11
Hata ufanyeje kama mtu ni wa kuchapwa nje atachapwa tu. Unaweza ukamwachisha kazi ukamfungulia biashara na akaendelea kuliwa na wateja.

Trust your lady...na mengine waachie akina mzabzab na Mzee wa kupambania [emoji16][emoji16][emoji16]

View attachment 2904507View attachment 2904508

#KuchapiwaHakuepukiki [emoji419][emoji419][emoji419][emoji2221]
Inafikirisha sana sana,ukiwaza vile wanaume wa shoka wanavyo mkunjaa inauma sio kidogo. Lakini tunaendelea kuvumilia.
 
Back
Top Bottom