Endelea kumwelekeza maana yeye ni mfalme[emoji1787][emoji1787]
Anatembea kama anapanda milima ya kwao[emoji16][emoji16]
Yule anapigania maokoto[emoji16][emoji16]Mojawapo ya kituko ni lucas mwashambwa
Daaaaa, kitambo kileee [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Augustine Mahiga.Life is just an illusion...
Hata yeye aliyebaki baada ya wenzake kutangulia, kuna cho chote alichofaidi kuwazidi waliomtangulia?
Hata kama angeishi miaka mingine 1000 mbele, kuna cho chote ambacho angefaidi kuliko wenzake hao waliomtangulia?
Maisha!
View attachment 2900940
Mmmh huyu mrembo mbona anatishia amani🙄🙄🙄