Kwenye sura huwa hamna tatizo. Tatizo huwa linakuja tu pale numerator inapokuwa kuuuubwa halafu kadenominator kadogoooo!😁tufanye edit kidogo!
kaskazini katika ubora wake.View attachment 2886899
Leo mmemfumania Nifah live mzee wa Ubuyu.
Mengine nitakujibia chemba uache mlango waziPole[emoji1545]
Adventure huyo.