Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

8efd1c860f78529cf2bc1ea3230a6a17.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
If We Must Die! by Claude McKay

If we must die, let it not be like hogs
Hunted and penned in an inglorious spot,
While round us bark the mad and hungry dogs,
Making their mock at our accursèd lot.
If we must die, O let us nobly die,
So that our precious blood may not be shed
In vain; then even the monsters we defy
Shall be constrained to honor us though dead!
O kinsmen! we must meet the common foe!
Though far outnumbered let us show us brave,
And for their thousand blows deal one death-blow!
What though before us lies the open grave?
Like men we’ll face the murderous, cowardly pack,
Pressed to the wall, dying, but fighting back!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#HABARI Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Nchini, imemkamata kigogo wa biashara za dawa za kulevya alyekuwa anatafutwa kwa miaka 23 na kumkuta akiwa na kokeini zenye uzito wa gramu 692.336 na alikuwa anasafirisha dawa kutoka America ya Kusini kwenda nchi mbalimbali kupitia vijana wa kike na kiume.

Taarifa hiyo imetolewa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka hiyo Aretas Lyimo wakati anaongea na waandishi wa habari Leo jijini Dar es Salaam na kusema kuwa madawa hayo yalikuwa yanasafirishwa kwa njia ya kumezwa tumboni.

“Mfanyabiashara huyo alikamatwa eneo la Boko huku washirika wake watatu, wawili wamekamatwa Dar es Salaam na mmoja mkoa wa Mbeya na madawa haya walikuwa wanasafirisha kupitia vijana maarufu kwa jina la Punda ambapo walikuwa wanawamezesha tumboni na uwezo wa mtu mmoja kumeza ni pipi gramu 300 mpaka 1000, kwa mwanamke mwenye tumbo kubwa ana uwezo wa kumeza mpaka gramu 2000," amesema Kamishna

#EastAfricaRadio
 

Attachments

  • FB_IMG_1706178893076.jpg
    FB_IMG_1706178893076.jpg
    46 KB · Views: 4
Dada Kiboga, hivi sukari unapewa bure na SAMIA? Umepewa stock ya mwaka mzima? Bei za mafuta ya petroli na mafuta kula hazikugusi? Mgao wa maji na umeme haukuhusu? Unajichekesha na kutuonesha mwanya kama umewekewa mjulubeng. Jikaze. Endelea kuchana wigi. Wanaume tupo barabarani.🚶
 

Attachments

  • 20240125_165924.jpg
    20240125_165924.jpg
    79.3 KB · Views: 6
Back
Top Bottom