Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1706160975729.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dear Ex..natamani ushambuliwe na nyuki..unapojaribu tu kutoroka gari linakugonga..wakiita ambulance basi ipate ajali na lori ambalo litaisukuma mtoni..then ukuliwe na samaki..samaki huyo huyo atakamatwa na mvuvi ambaye atauza

kwangu mimi. na Nikifika kukaanga samaki nitalala nikisahau kuwa nakaanga hadi kuungua.. kisha nitupe kwenye pipa ili mbwa wa jirani zetu aweze kumtunza.
FB_IMG_1706167131452.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dear Ex..natamani ushambuliwe na nyuki..unapojaribu tu kutoroka gari linakugonga..wakiita ambulance basi ipate ajali na lori ambalo litaisukuma mtoni..then ukuliwe na samaki..samaki huyo huyo atakamatwa na mvuvi ambaye atauza

kwangu mimi. na Nikifika kukaanga samaki nitalala nikisahau kuwa nakaanga hadi kuungua.. kisha nitupe kwenye pipa ili mbwa wa jirani zetu aweze kumtunza. View attachment 2882289

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke sio mtu wa kumuamini
 
Back
Top Bottom