Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

b9c3c79ecad26fb21df451a0a02f2cf0.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
#HABARI Gari la kubeba wagonjwa aina ya Landcruser Hardtop DFPA 1647 mali ya kituo cha Afya Ikuti wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya iliyokuwa imebeba mgonjwa kwenda Hospital ya Rufaa Kanda ya Mbeya imepata ajali kwa kugongana na gari la abiria aina Tayota Coster yenya namba za usajili T 305 CPT inayofanya safari zake Chunya hadi Mbeya Mjini.

Ajali hiyo inetokea leo Januari 11, 2024, majira ya saa 7:00 mchana katika eneo la Lift Valley njia panda ya kwenda Chunya na katikati ya Jiji la Mbeya.

Ambapo kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wamesema mgonjwa amehamishiwa katika gari lingine na kwamba hakuna kifo katika ajali hiyo.

Juhudi za kumtafuta Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya ili kujua chanzo cha ajali hiyo zinaendelea.

#EastAfricaRadio
FB_IMG_1704988649878.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom