Ulituokoa na njaa ya mwaka 1973/74. Washukuriwe watu wa Marekani 🙏🏿Kama ulikuwa hujui, huu ndo ugali wa Yanga.
"Kwa hisani ya watu wa Marekani"View attachment 2868309
Nilikula sana pesa za madomozege kuwaandikia hizi barua 😁😁😁
Babako boya tu. Haya ingia ndani...na utoe nguo!
Niliona mahali kuwa huyu mzee kaipiga mimba hii pisi!
Dogo amekonsentureti balaa!